Orodhesha anuani yako ya barua pepe kupata habari:



 

 
 

Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila... Soma zaidi

 

 

Hadithi ya Upanga

Upanga ni eneo muhimu sana katika historia ya muziki Tanzania. Hata katika miaka ya karibuni kulizuka kilichoitwa East Coast, muungano fulani wa... Soma zaidi

Ona Zaidi

 




 

Jinyakulie zawadi kila wiki

Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila Wiki! 

Usikose kusikiliza mchezo wa Wahapahapa kila Jumatatu saa 12 jioni na saa mbili na nusu jioni TBC Taifa

Kisha subiria swali litakaloulizwa mwishoni mwa mchezo na ujibu kwa usahihi.

Tuma jibu lako kwa ujumbe mfupi kwenda 15747 kabla ya saa 5:45 usiku Jumatatu.

Washindi 500 watapatikana kila wiki na kutumiwa papohapo Tshs 5,000 ya muda wa maongezi kwenye simu zao.

Kadri utakavyojibu maswali, ndivyo utakavyoongeza nafasi yako ya kushinda.

Kuwa kati ya washindi 4,000 watakaotumiwa jumla ya Tshs milioni 20 ya muda wa maongezi.

Ujumbe wa simu utatozwa Tshs 150 katika kila mtandao.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Sikiliza Wahapahapa na USHINDE!

Wawapi? Wahapahapa!

 

Swali la Juma hili:

YASMINI ANATAKA KUHARIBU BIASHARA YA NANI?

Majibu: Monika, Ray, au Dani?

_______________________________________________

 

Shiriki ujishindie moja ya zawadi kumi za muda wa maongezi wa TSHs. 5000/- kila wikina mizawadi mingine kemkem, kila wiki, kwa kushiriki shindano katika tovuti yako penzi ya Wahapahapa. Unachotakiwa kufanya ni kuangalia "Wazo la Mwezi (theme)" na kutuma picha ama insha inayoendana na wazo hilo. Zawadi zingine ni kama T-shirt za Wahapahapa, Kaseti au DVD za mchezo wa radio wa Wahapahapa, na posta kali za Wahapahapa. Pia kuna zawadi kubwa kila mwisho wa mwezi inayokwenda kwa jina la "Furushi la Wahapahapa" ambapo mshindi anapata zawadi zaidi ya moja kwa mkupuo.

1. MAELEZO SHINDANO LA PICHA


Picha iwe na maudhui ya "Wazo la Mwezi (theme)"

Piga picha yako na kuituma ikiambatana na maelezo ya mahala na siku picha ilipopigwa.

Picha iwe ya kiwango cha kuridhisha ili iweze kuingia kwenye tatu bora.

Picha zitakazotumwa zitaingizwa katika mchujo na timu ya uendeshaji wa tovuti itachagua picha tatu kali (uamuzi wa majaji ni wa mwisho), halafu zitapigiwa kura na wadau wa tovuti, katika tovuti, ili kumpata mshindi atakayeserebuka na zawadi.

Kutakuwa na washindi watano wa muda wa maongezi kila mwisho wa wiki. Pia kutakuwa na mshindi mmoja kila mwezi atakayejishindia "Furushi la Wahapahapa".

Picha itakayonyakua zawadi itawekwa ukurasa wa mbele wa tovuti ya Wahapahapa.

Muda wa Shindano hili ni;

Zawadi: Muda wa maongezi ya simu ya TSHs. 5000/-

Kuingiza Picha Yako kwenye Shindano BOFYA HAPA


2. MAELEZO SHINDANO LA INSHA

Insha iwe na maudhui ya "Wazo la Mwezi (theme)", halafu unaituma kwenda wahapahapatz@gmail.com. Picha yako ikiambatana na picha itapendeza zaidi.

Insha isizidi maneno 300 na isipungue maneno 150 yaliyochapwa kwa tarakilishi (kompyuta), na iwe ya kiwango cha juu ili iweze kuingia kwenye tatu bora.

Insha zitakazotumwa zitaingizwa katika mchujo na timu ya uendeshaji wa tovuti itachagua picha tatu kali (uamuzi wa majaji ni wa mwisho), halafu zitapigiwa kura na wadau wa tovuti, katika tovuti, ili kumpata mshindi atakayeserebuka na zawadi.

Kutakuwa na washindi watano wa muda wa maongezi kila mwisho wa wiki. Pia kutakuwa na mshindi mmoja kila mwezi atakayejishindia "Furushi la Wahapahapa".

Insha itakayonyakua zawadi itawekwa ukurasa wa mbele wa tovuti ya Wahapahapa.

Muda wa Shindano hili ni;

Zawadi: Muda wa maongezi ya simu ya TSHs. 5000/-

Pia utume nambari ya simu na anuani ya posta ili zawadi zako zikufikie kirahisi. Nambari na anuani ni kwa matumizi ya shindano pekee na si vinginevyo.


 

 

 
  1. Pancho/Mx Carter/Mabeste/Leo/Izzo B...
    We Go Harder
  2. AT/Nyota Ndogo
    Mpishi
  3. Blac/AT/Gelly/Rose
    Hood Life, Good Life
  4. AT/Gelly
    Waswahili
  5. Soma zaidi
 
 
Nuru

Kuna shabiki wa muziki aliwahi kuniambia kwamba, 'Nuru is sooooo marketable', kwa maana nyingine amekamilika katika Soma zaidi