 |
| |
|
 |
Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila...
Soma zaidi
|
|
|
|
 |
 |
| |
|
|
Hadithi ya Upanga
Upanga ni eneo muhimu sana katika historia ya muziki Tanzania. Hata katika miaka ya karibuni kulizuka kilichoitwa East Coast, muungano fulani wa...
Soma zaidi
Ona Zaidi
|
|
|
|
 |
|
|
|
 |
|
|
|
Wahapahapa Wiki Ijayo
|
Sehemu ya 130
Zodwa anamuandalia Owen dawa za kienyeji alizopewa na mganga. Je, zitamfanya nini Owen?
Peter amemtayarishia Tausi zawadi bab kubwa... Je, ni zawadi gani hiyo? Na Tausi ataipenda?
Nyota anapata mgeni wa ghafla ambaye hakumtegemea kabisa ambaye anamshtua kweli. Je, ni mgeni gani huyo na amefuata nini?
Usikose kusikiliza Wahapahapa wiki ijayo!
|
|
 |
|
 |
 |
| |
Nuru
|
Kuna shabiki wa muziki aliwahi kuniambia kwamba, 'Nuru is sooooo marketable', kwa maana nyingine amekamilika katika
Soma zaidi
|
|
|
|
 |
|