Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila...
Soma zaidi
Hadithi ya Upanga
Upanga ni eneo muhimu sana katika historia ya muziki Tanzania. Hata katika miaka ya karibuni kulizuka kilichoitwa East Coast, muungano fulani wa...
Soma zaidi
FM Academia ni moja ya bendi za hapa nyumbani ambazo kwa kweli zimefanikiwa kuwateka mashabiki wengi na kuwaweka chini ya himaya ya kazi zao. Ukitazama video hii utaona jinsi vijana wake wa kazi wanavyojitahidi kwa kila hali kuweza kuendeleza ukali wa bendi hii. Cheki madensa wanavyoshughulika na ukongaji wa nyoyo za wapenzi wao.
Pancho/Mx Carter/Mabeste/Leo/Izzo B... We Go Harder