Orodhesha anuani yako ya barua pepe kupata habari:



 

 
 

Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila... Soma zaidi

 

 

Hadithi ya Upanga

Upanga ni eneo muhimu sana katika historia ya muziki Tanzania. Hata katika miaka ya karibuni kulizuka kilichoitwa East Coast, muungano fulani wa... Soma zaidi

Ona Zaidi

 




 

Mapromota bado wamkera AY

MKALI wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya, maarufu kama AY, amewaponda
mapromota wa Kitanzania wanaoishi nje ya nchi akidai kuwa ni wababaishaji.

Kauli hiyo ilikuja alipokuwa akizungumzia mipango ya safari ya yeye na Mwana FA kwenda kufanya maonyesho nje ya nchi. "Haieleweki ingawa tayari tuna visa mkononi na huenda hata muda wa visa zenyewe ukaisha hivi hivi. Kweli huwa siwapendi mapromota wa Kiswahili wanaoishi Ulaya, miyeyusho tu," alisema AY anayetamba na kibao cha Queens of Kings.

AY aliweka wazi kuwa hufurahi kufanyakazi na mapromota wa Uganda
akisema hawana uongo uongo. "Wako ‘committed’, kwao kazi ni kazi tofauti na ndugu zetu," alisema.

Kufa kwa safari hiyo kumewafanya wajipange kufanya onyesho la pamoja
Bagamoyo mwezi ujao kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


 



>> Ona Zaidi

 

 
  1. Pancho/Mx Carter/Mabeste/Leo/Izzo B...
    We Go Harder
  2. AT/Nyota Ndogo
    Mpishi
  3. Blac/AT/Gelly/Rose
    Hood Life, Good Life
  4. AT/Gelly
    Waswahili
  5. Soma zaidi
 
 
Nuru

Kuna shabiki wa muziki aliwahi kuniambia kwamba, 'Nuru is sooooo marketable', kwa maana nyingine amekamilika katika Soma zaidi