Orodhesha anuani yako ya barua pepe kupata habari:



 

 
 

Sikiliza Mchezo wa Redio wa Wahapahapa na Ushinde Muda wa Maongezi Kila... Soma zaidi

 

 

Hadithi ya Upanga

Upanga ni eneo muhimu sana katika historia ya muziki Tanzania. Hata katika miaka ya karibuni kulizuka kilichoitwa East Coast, muungano fulani wa... Soma zaidi

Ona Zaidi

 




 

My Love ya Squeezer yafikia patamu

ALBAMU ya mkali wa Hip Hop mwenye uwezo wa kuimba, George Kasela ‘Squeezer’, iitwayo My Love, itakamilika mwishoni mwa mwezi ujao.


Akiwa ameshafanya nyimbo tano hadi sasa, Squeezer, kaka yake Dataz, mwanadada mkali wa bongo fleva, alisema kuwa bado nyimbo nne albamu ikamilike.

“Sijashirikisha wasanii wengi, ni dada yangu Dataz pekee niko naye kwenye wimbo wa My Love. Nina nafasi ya kushirikisha wengine katika kazi zijazo,” alisema.

Baadhi ya nyimbo zake ni My Love na My Love Remix, Hi Hi na Falling in love.


 



>> Ona Zaidi

 

 
  1. Pancho/Mx Carter/Mabeste/Leo/Izzo B...
    We Go Harder
  2. AT/Nyota Ndogo
    Mpishi
  3. Blac/AT/Gelly/Rose
    Hood Life, Good Life
  4. AT/Gelly
    Waswahili
  5. Soma zaidi
 
 
Nuru

Kuna shabiki wa muziki aliwahi kuniambia kwamba, 'Nuru is sooooo marketable', kwa maana nyingine amekamilika katika Soma zaidi