Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
21 Juni 2011

Hatuhitaji Fiesta Mbeya - Sugu

Hatuhitaji Fiesta Mbeya - Sugu

Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA, kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!

HATUHITAJI FIESTA MBEYA,MI NAWAKILISHA TU MATAKWA YA VIJANA WA MBEYA...HASA WA MWANJELWA(SIDO) NDO WAMELILETA HILI KWANGU NA NINA FURAHA KUWA NAO NA KUHAKIKISHA MATAKWA YAO YANAKUWA...
BY ANY MEANS NECESSRY

4 maoni

 • Maoni Jahiem 22 Juni 2011 Jahiem

  Mhe. Sugu ni kweli umeonyesha nia nzuri ya kuokoa kizazi cha wanaokuwa wakazi wa mbeya kwa kuikataa FIESTA... Lakini kwa wenye akili chache watajua umetangaza bifu na waandaaji wa FIesta ya Clouds.. Sidhani kama ni muda muafaka wa wewe kuanza kupoteza muda kwa vitu hivi vya ajabu visivyokuwa na msingi wowote. Ungekuwa ni muda mzuri wa wewe wa kuandaa mikakati ya kuleta maendeleo miongoni mwa wananchi wako nakuachana na maswala ya kuanza kujibishana na CLOUDS... Braa haya ni mawazo yangu tuuu

 • Maoni Salim Kingwira 21 Juni 2011 Salim Kingwira

  Aya muheshimiwa, kama kweli ni matakwa ya vijana walio wengi, ila ungefafanua ni aina gani ya uadui wa maendeleo ya sanaa ambao unatokana na fiesta?

 • Maoni Salim Kingwira 21 Juni 2011 Salim Kingwira

  Aya muheshimiwa, kama kweli ni matakwa ya vijana walio wengi, ila ungefafanua ni aina gani ya uadui wa maendeleo ya sanaa ambao unatokana na fiesta?

 • Maoni GRIADY 21 Juni 2011 GRIADY

  KWANI BURUDANI NI KITU CHA KAWAIDA SI KUWEKA VIZUIZI KAMA WATU TUNAITAJI BURUDANI BASI ACHA TUPATE BURUDANI BWANA

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.