Jina la Usajili:  Neno la Siri:    Umesahau neno la siri?   |   Umesahau jina?
12 Julai 2011

Dudubaya Ndani ya Tasnia ya Muvi

Dudubaya Ndani ya Tasnia ya Muvi

Baada ya THE MUSK sasa nimecheza movie inayoitwa THE LEOPARD GHOST akiwa amemshirikisha msanii mwenzake HEMED.

Movie hiyo itatoka soon humo ndani nimecheza kama rafiki wa Hemed pia ni mwanamziki, nimetumia jina la Dudu na Hemed yeye ametumia jina la Tesha.

So wapenzi wa filamu bongo na nje ya bongo kaeni mkao wa kuona kitu kipya machoni mwenu, nawaahidi kutowaangusha kabisa.

1 maoni

  • Maoni Timothy Simba 19 Julai 2011 Timothy Simba

    Dudu kwakile nachoamini kwanza huwa hushindwi pili hupenda sana kujituma na ndo asili yako kama sikosei naamini itakuwa ni bonge la filamu ngoja tu iweiti hiyo kitu

Login to post comments

MSANII WA WIKI

Loveness

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa Filamu Tanzania Loveness Watson Nyota yake kwa sasa inatingisha katika tasnia ya

Soma Zaidi...

VIDEO YA MHARIRI

Off Side

Si mara ya kwanza kutazama filamu za Kanumba, lakini pia ni ukweli kwamba kila filamu anayokuja nayo

Soma Zaidi...

FILAMU ZA BONGO

Mbawa za Dino Zafunguka

MUIGIZAJI na Mtayarishaji wa filamu hapa nchini Tanzania Dennis Sweya (Dino) anatarajia kuanza kurekodi

Soma Zaidi...

WAHAPAHAPA VIDEO

You need Flash player 6+ and JavaScript enabled to view this video.