Mimi ni mwanamume anayependa kufurahia maisha nakuheshimu faragha ya wenzangu. Huvyo basi nawatarajia wengine pia waiheshimu faragha yangu. Nawaheshimu watu wote bila kujali hali yao ya kiuchumi, kitaaluma, kijinsia au kijamii. Napenda burudani kwa sana tu yaani.
|
|
|